Imewekwa tarehe: June 30th, 2022
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili itafanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha waliozaliwa wameungana sehemu ya kifua, tumbo na ini (lakini kila mtoto ana ini lake), upasuaji huo unategemewa kufan...
Imewekwa tarehe: June 30th, 2022
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amewashauri Wazazi na Walezi kuwakatia Bima ya Afya watoto (Afya Toto Card) kwa ajili ya kuwaondolea gharama za matibabu pindi wanapougua ama kupata matatizo ya kiafya.
...
Imewekwa tarehe: June 30th, 2022
SERIKALI ilitoa Shilingi Bilioni 263 ya fedha za ahueni ya UVIKO-19 ili kuboresha Hospitali za rufaa za mikoa kati ya fedha hizo hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma ilipewa kiasi cha bilioni 4.6 amba...