Imewekwa tarehe: January 22nd, 2022
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Joseph Mafuru ameridhishwa na muitikio wa wananchi wa kata ya Makole kujitokeza kushiriki zoezi la usafi wa mazingira na kuwataka kujenga tabia ya usafi wa...
Imewekwa tarehe: January 21st, 2022
WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira,Seleman Jafo amewaagiza Maafisa Mazingira nchini kusimamia kampeni ya ‘soma na mti’ ambayo lengo lake ni wanafunzi wa shule za msingi...
Imewekwa tarehe: January 20th, 2022
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Selemani Jafo amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa kila moja inatekeleza mkakati wa Taifa wa kupanda zaidi ya miti milioni 27...