Imewekwa tarehe: November 22nd, 2021
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imewataka wateja wote walioomba kumilikishwa viwanja jijini humo kulipa au kumalizia fedha za viwanja hivyo kabla ya Disemba Mosi mwaka huu vinginevyo watanyang'anywa na ...
Imewekwa tarehe: November 22nd, 2021
Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kushirikiano na benki ya DCB linauza viwanja kwa Mtanzania anayehitaji kumiliki kiwanja jijini humo.
Kwa maelezo zaidi piga namba za simu zilizopo kwenye tangazo h...
Imewekwa tarehe: November 19th, 2021
WANAWAKE Wajasiriamali wametakiwa kurasimisha biashara zao ili waweze kutambulika na kupata fursa mbalimbali zinazotolewa na Serikali pamoja na taasisi zake zikiwemo taasisi za kifedha.
Afisa...