Imewekwa tarehe: October 4th, 2021
CHANJO ya ugonjwa wa Uviko-19 ni muhimu kwa sababu inazuia kwa asilimia kubwa mtu asipate maambukizi na kuugua kufikia kiwango cha kuwekewa hewa ya ‘Oxygen’.
Kauli hiyo ilitolewa na Mganga Mkuu wa ...
Imewekwa tarehe: October 2nd, 2021
SERIKALI imeamua kutoa chanjo ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19) kwa wananchi wake ili kuwaepusha na madhara yatokanayo na ugonjwa wa Korona na kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli...
Imewekwa tarehe: October 1st, 2021
WAKALI wa Makao Makuu ya Nchi, 'Walima Zabibu' Dodoma Jiji FC wameshindwa kuutumia vyema uwanja wao wa nyumbani kwa kukubali kufungwa na Simba SC ikiwa ni mchezo wa pili tu wa msimu mpya wa ligi Kuu T...