Imewekwa tarehe: August 17th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu Lilongwe nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi ...
Imewekwa tarehe: August 16th, 2021
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza wananchi 1,672 waliovamia maeneo na kuyaendeleza katika mtaa wa Mbuyuni kata ya Kizota mkoani Dodoma kupimiwa na kumilikishwa ku...
Imewekwa tarehe: August 16th, 2021
WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema zao la zabibu litajumuishwa katika mazao ya kimkakati ikiwa ni mkakati wa Serikali kuinua zao hilo linalolimwa jijini Dodoma.
Kutokana na hatua hiyo, ...