Imewekwa tarehe: July 29th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema asingekuwa tayari kuhatarisha maisha yake kwa kuchanjwa chanjo ya UVIKO kama ingekuwa si salama.
Rais Samia ameyasema hayo katika...
Imewekwa tarehe: July 28th, 2021
SHULE ya sekondari Chinangali inatekeleza kwa vitendo kaulimbiu ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 kwa lengo la kutoa huduma bora.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa shule ya sekondari Chinangali, Mwalimu ...
Imewekwa tarehe: July 28th, 2021
MRADI wa ujenzi wa Government City Complex utaiwezesha Halmashauri ya Jiji la Dodoma kujitegemea kimapato baada ya kukamilika kwake.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimwe...