Imewekwa tarehe: July 20th, 2021
Na Noelina Kimolo.
“WAGONJWA wa COVID-19 wapo hivyo wakazi wa Dodoma wasichukulie mzaha suala hili wajitahidi kuchukua tahadhari za kujikinga kama vile kunawa mikono kwa maji tiririka, kutumia vita...
Imewekwa tarehe: July 20th, 2021
Na Noelina Kimolo
MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Jabar Shekimweri amewataka wazazi wote wilayani humo kutambua na kuthamini umuhimu wa walimu ambao wanamchango mkubwa katika kuleta matokeo mazuri kwa wa...