Imewekwa tarehe: June 6th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, siku ya Jumanne ya Juni 8, 2021 anatarajiwa kukutana na kuzungumza na Wanawake wa Mkoa wa Dodoma kwa niaba ya wakina mama wa nchi nzim...
Imewekwa tarehe: June 5th, 2021
WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo mbioni kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa uzalishaji wa gesi asilia ya kimimika (LNG) mkoani Lindi utakaogharimu dola za kimarekani bilioni 3...
Imewekwa tarehe: June 5th, 2021
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini Mhe. Anthony Mavunde ameanza kuboresha miundombinu ya viwanja vya michezo katika shule za Msingi na Sekondari za Jiji la Dodoma akilenga kukuza michezo na kuwaandaa wan...