Imewekwa tarehe: May 17th, 2021
TIMU ya mpira wa miguu ya Dodoma Jiji imefanikiwa kuondoka na alama moja katika uwanja wa Karume Mkoani Mara baada ya kutoka sare ya 1 – 1 dhidi ya klabu ya Biashara United ya Mkoani humo.
Biashara...
Imewekwa tarehe: May 17th, 2021
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda waongoza Taasisi ya Habari Development na Wananchi wa Kata ya Zuzu katika uzinduzi wa kampeni ya upandaji w...
Imewekwa tarehe: May 17th, 2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru ambazo kitaifa zitazinduliwa Uwanja wa Mwehe – Mak...