Imewekwa tarehe: April 28th, 2021
Timu ya Dodoma Jiji FC jana imepoteza mchezo wake dhidi ya wenyeji Simba ya Dar es Salaam kwa kufungwa magoli 3 – 1 katika mchezo mkali uliofanyika kuanzia saa 1 usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa....
Imewekwa tarehe: April 28th, 2021
WATOTO wanne wamepoteza maisha Mkoani Dodoma baada ya kuzama kwenye maji kwa nyakati tofauti.
Mtoto mmoja alizama kwenye maji wakati akiogelea ,mwingine akiwinda bata maji kwenye mabwawa huku wawil...
Imewekwa tarehe: April 27th, 2021
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewatoa hofu wawekezaji wanaozalisha bidhaa mbalimbali nchini baada ya kuwaeleza kuwa Serikali itahakikisha inawalinda na kulinda bidhaa zao ili waweze kuata masoko hapa n...