Imewekwa tarehe: March 20th, 2021
MKOA wa Dodoma umepewa heshima na dhamana ya kuandaa shughuli ya maombolezo rasmi kitaifa yatakayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Bilinith Mahenge ametoa...
Imewekwa tarehe: March 20th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amewaongoza maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanz...
Imewekwa tarehe: March 19th, 2021
ALIYEKUWA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 19 Machi, 2021 ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hafla ya kuapishwa kwake ime...