Imewekwa tarehe: January 2nd, 2021
HABARI zilizoifikia tovuti hii zinaeleza kuwa ajali ya treni ya abilia imetokea maeneo ya Itigi katika Wilaya ya Bahi.
Tovuti hii itaendelea kukupa taarifa zaidi....
Imewekwa tarehe: January 2nd, 2021
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 2, 2021 ameanza ziara ya kikazi Mkoa wa Ruvuma kwa kukagua ukarabati wa majengo ya Shule ya Sekondari ya Tunduru.
Akiongea baada ya ukaguzi huo Waziri...
Imewekwa tarehe: January 1st, 2021
Kikosi cha Dodoma Jiji FC kinachoshiriki ligi Kuu Tanzania Bara kipo Mkoani Shinyanga, kwa mchezo dhidi ya Mwadui FC katika mchezo namba 17 wa Ligi kuu utakaochezwa leo siku ya mwaka mpya tarehe 1.1.2...