Imewekwa tarehe: November 26th, 2020
MGANGA Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma Dkt. Gatete Mahava amekutana na viongozi wa Zahanati na vituo vya Afya kujadiliana utekelezaji wa shughuli mbalimbali zinazotolewa katika Jiji la Dodoma.
...
Imewekwa tarehe: November 24th, 2020
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imetangaza fursa za uwekezaji katika kituo kikuu cha kuegesha magari makubwa ya mizigo kilichopo Nala kwa wawekezaji mbalimbali kuwekeza katika kituo hicho.
Kauli hiyo...
Imewekwa tarehe: November 24th, 2020
WAWEKEZAJI wamekaribishwa kutembelea na kuwekeza katika mradi wa ujenzi wa jengo la kitegauchumi “Government City Complex” (pichani) unaojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma.
Kauli hiyo ilit...