Imewekwa tarehe: November 5th, 2020
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli aahidi kuendelea kukuza uchumi na kukabiliana na tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana, muda mfupi baada ya kula kiapo (pichani) kwa nafasi ...
Imewekwa tarehe: November 4th, 2020
VIONGOZI wa nchi tatu za Uganda, Comoro na Zimbabwe na wengine wapatao 20 pamoja na mabalozi 83 wanaowakilisha nchi zao hapa nchini wamethibisha kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais wa Tanzania.
Ka...
Imewekwa tarehe: November 4th, 2020
HISTORIA mpya inatarajiwa kuandikwa kesho tarehe 5.11.2020 kwa wakazi wa Mkoa wa Dodoma kushuhudia sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanza tangu kupata Uhur...