Imewekwa tarehe: December 6th, 2020
TAASISI ya Maendeleo ya Vijana Dodoma imepongezwa kwa kupambana kikamilifu na masuala ya ukatili wa kijinsia kwa wasichana katika kupunguza na kutokomeza mimba za utotoni.
Hayo yamesemwa jana na Mg...
Imewekwa tarehe: December 5th, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli leo Jumamosi Disemba 5, 2020 amefanya uteuzi wa Mawaziri 21 na Naibu Mawaziri 23 huku akiwateua waliokuwa makatibu wakuu wa wizara kuwa...
Imewekwa tarehe: December 5th, 2020
Wakazi wa Jiji la Dodoma wamekumbushwa kutekeleza wajibu wao wa kufanya usafi ili kulifanya Jiji la Dodoma kuwa safi na la kuvutia muda wote.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Idara ya Mazingira na Usafi w...