Imewekwa tarehe: September 12th, 2020
TIMU ya Dodoma Jiji FC inayomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2 kwa 0 mbele ya wenyeji wao JKT Tanzania katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Jamhuri ...
Imewekwa tarehe: September 12th, 2020
IDARA ya Mipango Miji, Ardhi na Maliasili katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma itaweka kambi ya siku tano kuanzia tarehe 14 Septemba, 2020 kutatua kero za ardhi kwa wananchi wa Mtaa wa Nzuguni “A” Kat...
Imewekwa tarehe: September 12th, 2020
Waliojimilikisha maeneo ya umma kutimuliwa
MKUU wa Wilaya ya Dodoma Mjini Josephat Maganga leo ameendelea na ziara yake ya kujitambulisha kwa wananchi wa Wilaya anayoiongoza kwa kutembelea Kat...