Imewekwa tarehe: September 4th, 2020
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini.
Kwa mujibu wa EWURA, mwezi huu bei hizo zimeongezeka, ikilinganishwa na mwezi ...
Imewekwa tarehe: September 3rd, 2020
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Wadau wa Maendeleo wanaochangia sekta ya afya kupitia Mfuko wa Afya wa Pamoja (Health Basket Fund) imeri...
Imewekwa tarehe: September 2nd, 2020
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Seikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amesema kuwa wanafunzi 7,586 kati ya 8,603 walikosa nafasi awamu ya kwanza wamechaguliwa kijiunga na kidato cha tano...