Imewekwa tarehe: August 18th, 2020
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia 80.
Alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati akiele...
Imewekwa tarehe: August 17th, 2020
Timu ya Soka inayomilikiwa na Jiji la Dodoma, Dodoma Jiji FC imeanza mazoezi ya kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara itakayoanza tarehe 6/9/2020.
Akizungumza na Mwandishi wetu, Afisa Habari wa Timu ...
Imewekwa tarehe: August 17th, 2020
WANANCHI wa Kata ya Mtumba wamepongeza juhudi za Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini, Mwalimu Josephat Maganga kushuka chini ili kusikiliza na kutatua kero zao hivyo kusaidia juhudi kubwa zinazofanywa na H...