Imewekwa tarehe: August 6th, 2020
Serikali imetoa wito kwa watanzania kutunza miundombinu mbali mbali iliyowekezwa na Serikali nchini ili kuendelea kuwekeza fedha katika maeneo mengine na kupangua wigo wa maendeleo nchini.
Wi...
Imewekwa tarehe: August 6th, 2020
JAMII imeshauriwa kuchangamkia fursa zilizopo katika ufugaji wa samaki katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma ili kujipatia kipato na kukabiliana na tatizo la lishe.
Kauli hiyo imetolewa na Afisa Uvu...
Imewekwa tarehe: August 6th, 2020
WAKAZI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kujipanga kwa ufugaji ng’ombe wa kisasa ili waweze kuwahudumia ng’ombe wao vizuri na kupata maziwa mengi.
Kauli hiyo ilitolewa na Afisa Mifu...