Imewekwa tarehe: August 5th, 2020
JAMII imeshauriwa kulima zao la Kitunguu kutokana na kutokuwa na usumbufu wakati wa kilimo chake na kutoa matokeo mazuri kiuchumi kwa mkulima.
Kauli hiyo ilitolewa na bwana shamba kutoka JKT Makuto...
Imewekwa tarehe: August 5th, 2020
SERIKALI ya awamu ya tano imewawezesha Walimu Wakuu, Wakuu wa Shule na Waratibu Elimu Kata fedha na usafiri ili waweze kusimamia vizuri utoaji wa elimu katika maeneo yao.
Kauli hiyo imetolewa na Wa...
Imewekwa tarehe: August 5th, 2020
SERIKALI imetumia shilingi trilioni 1.09 kutekeleza mpango wa utoaji elimu bila malipo nchini ili watanzania wengi waweze kunufaika na elimu hiyo na kuchangia ukuaji wa uchumi nchini.
Kauli hiyo im...