Imewekwa tarehe: July 29th, 2020
WATANZANIA wameshauriwa kujitokeza kwa wingi kutembelea banda la Halmashauri ya Jiji la Dodoma kujifunza matumizi ya teknolojia ya kisasa katika shughuli za kilimo na mifugo kwa lengo la kukuza uchumi...
Imewekwa tarehe: July 28th, 2020
Mwili wa Mzee Mkapa tayari umewasili kijijini kwao Lupaso Masasi Mtwara kwa maziko yatakayofanyika kesho. Kabla ya mwili huo kusafirishwa, familia ya marehemu pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali...
Imewekwa tarehe: July 28th, 2020
WAKAZI wa Jiji la Dodoma wametakiwa kuwa na nyaraka za ujenzi hususan ramani na kibali cha ujenzi katika eneo la kazi (site) ili kuepusha usumbufu wakati wa zoezi la ukaguzi wa majengo mbalimbali ikiw...