Imewekwa tarehe: March 28th, 2020
Zoezi la kuondosha vibanda vilivyojengwa juu ya mtaro wa maji ya mvua na usafi katika Soko la Sabasaba uliofanyika leo Jumamosi umefanikiwa kwa sehemu kubwa. Wafanyabiashara waliokuwa wamejenga juu ya...
Imewekwa tarehe: March 28th, 2020
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuendelea kukabiliana na ugonjwa wa Corona ili kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huu nchini.
Kauli hiyo imetoliwa leo na Mheshimiwa Waziri Mkuu baad...
Imewekwa tarehe: March 28th, 2020
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu imesema kuwa kwa kipindi cha masaa 24 tangu jana Alhamisi Machi 27, 2020 jumla ya sampuli 26 zimewasilishwa kwa ...