Imewekwa tarehe: May 6th, 2020
AFISA Elimu Msingi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Mwalimu Joseph Mabeyo anaridhishwa na muitikio chanya wa wanafunzi katika vipindi vya masomo vinavyoendelea katika redio mbalimbali za Halmashauri ...
Imewekwa tarehe: May 6th, 2020
Redio za ndani ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma zimekuwa na mchango mkubwa katika kuwafundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 ...
Imewekwa tarehe: May 5th, 2020
Zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa za wapiga kura kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura limekamilika leo Jimbo la Dodoma mjini kwa mafanikio makubwa ambapo watu wengi walikuwa wakijitokeza ...