Imewekwa tarehe: November 24th, 2019
ZOEZI la upigaji kura uchaguzi wa Serikali za mitaa katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma limefanyika katika hali ya amani na usalama likishughudia mamia ya wananchi wakijitokeza.
Kauli hiyo imetole...
Imewekwa tarehe: November 24th, 2019
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli amewashauri wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi na Mashirika mbalimbali ambayo serikali ina hisa kuwekeza katika Jiji la Dodoma.
...
Imewekwa tarehe: November 24th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 24 Novemba, 2019 amepokea kiasi cha shilingi Trilioni 1.05 zinazotokana na gawio na michango kutoka taasisi, mashirika...