Imewekwa tarehe: October 12th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli leo tarehe 12 Oktoba,2019 wamejiandikisha katika Daftari la Orodha ya Wapiga kura katika Kituo cha ...
Imewekwa tarehe: October 11th, 2019
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge amewataka wananchi mkoani hapa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika vituo vya uandikishaji wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi wa Serikali ...
Imewekwa tarehe: October 10th, 2019
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema azma ya kuifanya Dodoma kuwa ya Kijani iko pale pale.
Hayo yamesemwa leo mara baada ya kutembelea shamba la miti l...