Imewekwa tarehe: August 7th, 2019
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Dodoma, limemchagua Emmanuel Chibago kuwa Naibu Meya baada ya kumshinda Said Kitegile katika uchaguzi uliofanyika mapema wiki hii.
Akitangaza matokeo ha...
Imewekwa tarehe: August 6th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma yapongezwa kwa kutumia asilimia 75 ya mapato yake ya ndani katika miradi ya maendeleo likiwa ni ongezeko zaidi ya asilimia 15 ya maelekezo ya serikali.
Pongezi hizo zi...
Imewekwa tarehe: August 5th, 2019
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo aipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa utendaji kazi wa viwango katika ukusanyaji mapato na utoaji huduma kwa wana...