Imewekwa tarehe: June 15th, 2019
MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi amemaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 20 kwa wakazi eneo la C Centre lililopo kata ya Nkuhungu Jiji la Dodoma.
Akizungumza katika kikao ...
Imewekwa tarehe: June 15th, 2019
WATUMISHI wa umma katika Halmashauri ya jiji la Dodoma wameshauriwa kushiriki kikamilifu katika zoezi la usafi wa mazingira katika maeneo yao na maeneo yanayopangwa na serikali kufanyiwa usafi ili waw...
Imewekwa tarehe: June 15th, 2019
Wadau wa mapambano dhidi ya ukatili kwa watoto katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kutumia vizuri rasilimali zilizopo kwa manufaa ya ulinzi na ukuaji wa mtoto.
Kauli hiyo imetolewa na M...