Wageni wakiwa wamewasiri, hapa wakisoma bango lenye huduma zitolewazo na Kituo cha Afya Makole.
Wataalam kutoka USAID, PS3+, OR-TAMISEMI wakiangalia bango lenye huduma zitolewazo na Kituo cha Afya Makole.
Mganga Mkuu wa Jiji la Dodoma akitoa taarifa ya matumizi ya mfumo wa GoTHOMIS katika kituo cha Afya Makole mbele ya wataalam kutoka USAID, PS3+ na OR-TAMISEMI.
Wageni wakijitambulisha.
Mkurugenzi kutoka PS3+ Desdery akijiridhisha na taarifa zinazoingizwa kwenye mfumo wa GoTHOMIS na Mtaalam wa Kituo cha Afya Makole.
Wageni wakipata maelezo kutoka kwa Mfamasia, kuhusu matumizi ya mfumo kwenye suala la uhifadhi, ugawaji, uagizaji na udhibiti wa dawa.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.