Mkuu wa Shule ya Sekondari Dodoma, Francis Tumaini akionesha jinsi anavyoutumia mfumo wa FFARS kama Mkuu wa Shule akiwa ofisini kwake.
Mwalimu Francis Tumaini akitoa maelezo kuhusu mfumo wa FFARS unavyotumika na kusaidia kuondoa changamoto za mapato na matumizi ya fedha za Serikali.
Mwalimu anayehusika na mfumo wa FFARS akitoa maelezo jinsi wanavyoutumia mfumo huo kusimamia mapato na matumizi ya fedha shuleni.
Timu nzima kutoka USAID, PS3+, OR-TAMISEMI, Jiji DODOMA wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao wa Shule ya Sekondari Dodoma
Wageni kutoka USAID, PS3+, OR-TAMISEMI na Dodoma Jiji walipofika kujitambulisha ofisi kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Dodoma, Mwl. Francis Tumaini.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.