“Hongera sana Mkurugenzi na timu yako mmeweza kukamilisha kwa wakati taarifa ya hesabu, na kinachofurahisha zaidi ni uwezo wa kujitegemea, kama tumeweza kujitegemea kwa asilimia 42 tumebakiza asilimia 8 tungeweza kujitegemea kwa muda wa miezi sita, tulianza na asilimia 34 mwaka uliopita na hivi sasa tunakwenda vizuri, hongereni sana madiwani kwa matumizi mazuri na ukusanyaji mzuri wa mapato” alisema Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe.
WALIMU wanaofundisha somo la kiingereza katika shule za sekondari Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kujipanga kujenga umahiri wa somo hilo kwa wanafunzi ili wabobee katika lugha hiyo.
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.