SERIKALI imesema inatambua na kuthamini mchango mkubwa unaotolewa na Watanzania wabunifu katika eneo la elimu, uvuvi, viwanda, kilimo na maeneo mengine.
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeendeleza jitihada katika kukuza sekta ya elimu kwa kuboresha miundombinu na upanuzi wa shule Jijini hapa ikishirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) pamoja na taasisi nyingine za kifedha nchini.
TEA na Halmashauri ya Jiji la Dodoma zimrfanya hafla ya makabidhiano rasmi ya mradi wa ukarabati na upanuzi wa shule za msingi Kisasa, Kizota, Medeli na Mlimwa C jana tarehe Mei 6, 2021 ambapo mradi huo unafanyika chini ya mshauri elekezi Chuo cha Sayansi Mbeya (MUST Consultancy Bereau - MCB) wenye gharama ya shilingi Bilioni 1.9 na unatarajiwa kukamilika katika kipindi cha miezi minne kutoka sasa.
Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ya 2021 hapa Jijini Dodoma Wafanyakazi wafunguka na kauli mbiu isemayo "Maslahi bora, Mishahara juu, Kazi iendelee".
Tazama video hii kuona maandamano yao...
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.