Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Bajeti imetembelea Soko la Wazi la Wamachinga Jijini Dodoma na kupongeza utekelezaji wa ujenzi huo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa maagizo ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wamachinga watafutiwe maeneo na wapangwe kwa utaratibu mzuri utakaowawezesha kufanya shughuli zao vyema.
Maafisa ugani Jiji wakabidhiwa pikipiki
Waziri Mkuu azitaka taasisi kusimamia sera za usafi na utunzaji wa mazingira
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.