Tovuti ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma ni chombo ambacho kinatuwezesha kupanua zaidi njia za mawasiliano kwa wateja wetu na wadau wetu wengine wa maendeleo. Kwa hiyo tunathamini muda wako wa kututembelea kwenye tovuti yetu. Ni matumaini yetu kuwa utafurahia kuperuzi na kuchukua vitu muhimu pamoja na kujua huduma na mipango yetu ya maendeleo. Karibu na Asante sana!
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.