Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma inataraji kufanya uhakiki wa wapangaji na watumiaji wa vyumba/vibanda vya biashara katika maeneo ya Stendi Kuu, Jamatini, Eneo la Community Centre, Soko la Bonanza na D-Centres zote.
Kwa maelezo zaidi bofya hapa: Kufanya Uhakiki wa Wapangaji.pdf
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.