Serikali imepiga marufuku matumizi ya Mifuko ya Plastiki kuanzia tarehe 01 Juni, 2019
Katazo hili linahusu kupiga marufuku uzalishaji, uingizaji, usafirishaji nje ya nchi, usambazaji, uuzaji na matumizi ya mifuko ya plastiki ya aina zote.
Katazo hili linaanza tarehe 1 Juni, 2019.
Serikali imeamuakupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki ili kuepusha athari za kiafya na mazingira zinazoendelea kujitokeza kutokana na matumizi ya mifuko hiyo. Athari za mifuko ya plastiki ni pamoja na kutooza katika mazingira kwani inakadiriwa
Bidhaa ambazo hazitaathiriwa na katazo hili ni pamoja na vifungashio vya bidhaa kama vile vifungashio vya madawa, vifungashio vya vyakula kama vile: maziwa, korosho, n.k bidhaa za viwandani, kilimo na ujenzi. Hata hivyo, vi
Utaratibu maalumu unafanywa ambapo kila Wilaya itatenga eneo maalum la kukusanyia mifuko ya plastiki na umma utatangaziwa maeneo hayo.
Adhabu mbalimbali ikiwemo faini au kifungo gerezani zitahusika kwa atakayekiuka katazo hili kulingana na Kanuni za “Marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki za Mwaka 2019” zilizoandaliwa chini ya Sheria ya Mazingira ya Mw
Mbadala wa mifuko ya plastiki ni mifuko kama vile karatasi, nguo, vikapu, gunia n.k. Mifuko hii ni ile ambayo ni rafiki kwa mazingira kwani inapoisha muda wake huoza katika mazingira. Mifuko hii haina madhara kwa afya ya bi
Uwezo na utayari wa uzalishaji wa mifuko mbadala ni wa kuridhisha. Kwa sasa vipo viwanda vya karatasi 25 hapa nchini. Aidha, tayari kuna viwanda ambavyo vinazalisha mifuko mbadala ya karatasi, nguo na mingineyo ambavyo vina
Ili kuepuka usumbufu usiokuwa wa lazima kwa wenye nia ya kuwekeza katika uzalishaji wa mifuko mbadala wa plastiki, wawasiliane na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC); Baraza la Taifa la Usimamizi na Hifadhi ya Mazingira (NEM
Serikali imeandaa Kanuni za “Marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki za Mwaka 2019”, Kuunda Kikosi kazi cha Serikali, kutoa Elimu kwa Umma ili wananchi wote wanapate taarifa sahihi na kwa wakati na kuhimiza kasi ya uzalishaji wa mifuko mbadala.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.