Kuzalisha, kusindika na kuuza mazao ya kilimo
Kutokana na hali ya hewa ya Dodoma, zao la zabibu hustawi vizuri na sasa linakuwa zao kuu la biashara.
Zabibu huvunwa mara mbili kwa mwaka, tofauti na sehemu nyingine ambako zabibu huvunwa mara moja tu kwa mwaka.
Mazao mengine yanayozalishwa ni mbegu za mafuta (Alizeti, Karanga na Ufuta), Mahindi,Mtama, Mbaazi, mboga mboga na korosho ambazo kuna kampeni imeanza ili wakulima wengi walime maana hali ya hewa inaruhudu zao hilo kulimwa.
Zipo fursa za Uwekezaji katika kilimo ni:-
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.