Imewekwa tarehe: February 10th, 2025
Na. Halima Majidi, DODOMA
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo Jiji la Dodoma, wameishukuru serikali kwa kuona umuhimu wa kukarabati miundombinu ya Soko hilo na kuomba kuharakishwa ...
Imewekwa tarehe: February 9th, 2025
Na. Faraja Mbise, DODOMA
TARURA imeagizwa kuwasimamisha wakandarasi wasiokamilisha miradi kwa wakati na wasipewe tena miradi hiyo kwasababu wanakwamisha juhudi za Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ka...
Imewekwa tarehe: February 8th, 2025
Na. Shahanazi Subeti, DODOMA
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) pamoja na Halmashauri ya Jiji la Dodoma zilisaini mkataba wa TACTIC wenye thamani ya shilingi ...