VIPAUMBELE KATIKA BAJETI YA 2018/2019
Vipaumbele vikuu katika bajeti ya Jiji la mwaka 2018/2019 ni:-
1) Kuimarisha na kuboresha miundombinu ya utoaji huduma za jamii na uchumi katika Jiji la Dodoma.
2) Ukamilishaji wa Miradi viporo
3) Kuweka mazingira wezeshi yatakayosababisha kuinua na kukuza uchumi wa Halmashauri na kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja katika Jiji la Dodoma.
4) Kupanga, kupima ardhi na kusimamia uendelezajiwa mji wa Dodoma ili kuwa na hadhi ya Makao makuu ya Nchi.
Maeneo ya vipaumbele yanayozingatiwa katika mpango na bajeti ya mwaka 2018/19 vimegawanyika katika makundi makuu mawili kutokana na vyanzo vya fedha na kwa kuzingatia mwongozo wa uandaaji wa bajeti.
MAENEO YA VYANZO VYA NDANI (OWNSOURCE):
Halmashauri kwa kutumia vyanzo vya mapato ya ndani ndani kwa mwaka wa fedha 2018/2019 itatekeleza maeneo yafuatayo:-
Aidha katika bajeti hii ya Mwaka wa fedha 2018/2019 fedha zilizoelekezwa kwenye miradi ya Maendeleo ni shilingi 54,560,816,638.00 sawa na asilimia 81.00 ya bajeti yote ambayo ni shilingi 67,149,647,027.00 ya mapato ya ndani.
RUZUKU KUTOKA SERIKALI KUU NA WAFADHILI
Maeneo yaliyopewa kipaumbele kutokana ruzuku kutoka Serikali Kuu na wafadhili ni kama ifuatavyo:-
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.