Ili kuvutia wawekezaji, Jiji tayari limeandaa maeneo kadhaa ya uwekezaji na kuweka mazingira wezeshi ili kuwapatia waendelezaji.
Eneo la Uwekezaji Njedengwa: ambalo lina Hekta 580 na jumla viwanja 141 vya uwekezaji vyenye ukubwa wa kati ya ekari 2 hadi 26 kwa kiwanja kimoja kutegemeana na uhitaji wa mwekezaji.
Majengo yanayo paswa kujengwa ni maghorofa ya makazi,majengo ya biashara na huduma za jamii. Kati ya viwanja hivyo, viwanaja vya Taasisi ni 46, vya kibiashara 20 na makazi maalumu 75. Eneo hili tayari lina miundo mbinu ya barabara za lami, maji na umeme na yote inatumika.
Mji Mpya wa Iyumbu: Una ukumbwa wa hekta 252 na kuna viwanja 242, kati ya hivyo vya biashara ni 10, Viwanda vidogo 2, biashara na makazi 173 na makazi maalum 57 na kuna uwanja wa michezo "Iyumbu Town Center".
Kwa ujumla Jiji la Dodoma kuna:-
Majengo yanayopendekezwa kujengwa eneo la Iyumbu
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.