• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Mtendaji asiyetoa habari kwa umma kukiona-Dkt. Abbas

Imewekwa tarehe: March 2nd, 2021

MSEMAJI Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, amesema Maelekezo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu utoaji wa habari za Serikali kwa umma yanatekelezwa kwa kasi na ofisi au mtendaji yeyote wa ofisi ya umma atakayekaidi asitafute wa kumlaumu.

“Waziri wa Habari Mhe Innocent Bashungwa, hivi ninavyoongea hapa ameshasaini barua yenye maelekezo hayo na zaidi kuzijulisha taasisi zote za umma nchini kuhusu tathmini itakayofanyika,” alisema.

Dkt. Abbasi ameyasema hayo leo mkoani Morogoro wakati akitoa mada kwenye semina ya wahariri kuhusu Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere.

Amesema utoaji wa habari kwa umma ni jambo la kisheria na kikatiba hivyo hata maelekezo ya Rais yako sahihi na atakayekaidi “amekaidi mamlaka, amekaidi sheria na amekaidi katiba.”

Katika hatua nyingine, Dkt. Abbasi amewataka wahariri na waandishi nchini kuenzi misingi ya weledi na uzalendo katika kazi zao ikiwemo kufanya utafiti kwanza kuliko “kufakamia” mawazo na maoni ya watu wasioitakia nchi mema.

“Baadhi ya waandishi hawafanyi utafiti wala kutaka kujua mambo kwa kina na huishi wakifakamia tu kila kinachosemwa na mabeberu kupinga maendeleo yetu. We mwandishi gani sisi  ndio Serikali na ndio wenye hela na ndio wenye mradi tunakwambia tunakwenda kujenga mradi Rufiji, anatokea wakala wa mabeberu mmoja kashiba mivyakula ya kwenye kopo huko anakofadhiliwa kuishi anakwambia huo mradi hautajengwa, hawana hela hao, mwandishi unatoka unamwamini wakala wa beberu unaandika na kusambaza uongo, we vipi mbona hatukuelewi na wewe ni wa moto au wa baridi?” alihoji Dkt. Abbasi akisisitiza tangu utekelezaji wa mradi wa Umeme JNHPP Rufiji uanze hakuna malipo ambayo Serikali imechelewesha au kushindwa kuwalipa wakandarasi.

Kwa msaada wa Fullshangwe Blog

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 - Awamu ya Pili February 19, 2021
  • Tangazo la Mnada wa Hadhara February 15, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Nne, cha Pili na Darasa la Nne 2020 haya hapa January 15, 2021
  • Zoezi la upandaji miti watumishi wote January 15, 2021
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rais Samia arejea Dar

    April 09, 2021
  • Skauti 130 wapatiwa mafunzo kupambana na majanga

    April 09, 2021
  • Jafo atoa miezi sita machinjio Kizota

    April 09, 2021
  • Rais Mwinyi aongoza dua kumbukumbu ya Karume

    April 08, 2021
  • Angalia zote

Video

Ni wajibu wa kila mmoja kutambua thamani na nafasi yake katika jamii
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.