• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Rais Magufuli kufanya ziara ya siku tatu mkoani Dar es Salaam

Imewekwa tarehe: February 23rd, 2021

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu Jijini Dar es salaam ambapo katika ziara hiyo atazindua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Akizungumza kuhusu ziara hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amesema ziara hiyo itaanza Jumatano ya February 24 ambapo Rais Dkt. Magufuli atazindua daraja la juu Ubungo (Ubungo interchange) majira ya saa 03:30 asubuhi na mara baada ya hapo ataelekea Mbezi kwa ajili ya uzinduzi wa Kituo Cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi cha Mbezi Luis majira ya saa 05:30 asubuhi.

Aidha, RC Kunenge amesema siku ya Alhamis ya February 25 Rais Dkt. Magufuli ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa Soko la kisasa Kisutu majira ya saa 03:30 Asubuhi na baada ya hapo atafanya shughuli ya uzinduzi wa jengo la Jitegemee House ambapo kuna studio za Channel ten na Uhuru Fm.

RC Kunenge amesema siku ya Ijumaa ya February 26 Mhe. Rais atafanya shughuli ya uzinduzi wa majengo ya Chuo cha Polisi na kiwanda cha kutengeneza sare za Polisi ambapo tukio hilo litafanyika saa 03:30 asubuhi.

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 - Awamu ya Pili February 19, 2021
  • Tangazo la Mnada wa Hadhara February 15, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Nne, cha Pili na Darasa la Nne 2020 haya hapa January 15, 2021
  • Zoezi la upandaji miti watumishi wote January 15, 2021
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Dodoma Jiji FC yaipiga Kipigwe FC 7 - 0

    February 28, 2021
  • Wizara ya Afya kutumia panyabuku kubaini Kifua Kikuu

    February 26, 2021
  • Mshambuliaji Anwary Jabir aweka rekodi ligi kuu, 'apewa' uchezaji bora

    February 25, 2021
  • Jiji katika opesheni ya kujiimarisha kimapato

    February 25, 2021
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata kusimamia usafi wa mazingira katika kata zao
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.