• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Serikali yaboresha mazingira ya kufundishia na kujifunza- Mwambene

Imewekwa tarehe: August 18th, 2025

OR- TAMISEMI, Tabora

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais -TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Atupele Mwambene, amesema Serikali kupitia miradi mbalimbali imeendelea kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia kwa kuyafanya kuwa salama, bora na rafiki kwa walimu na wanafunzi ili kuinua kiwango cha elimu nchini.

Mwambene amezungumza hayo wakati akifunga mafunzo ya Walimu wa Ushauri, Unasihi na Ulinzi wa Watoto wa Shule za Msingi kupitia mpango wa Shule Salama unaotekelezwa chini ya Mradi wa BOOST, yaliyofanyika katika Chuo cha Ualimu mkoani Tabora.

Amebainisha kuwa Serikali imefanikisha ujenzi wa shule mpya 2,441 zikiwemo shule za msingi 1,399 na sekondari 1,042, hususani katika maeneo ya vijijini yaliyokuwa hayana shule au yenye msongamano mkubwa wa wanafunzi. Aidha, jumla ya shule kongwe 906 zimekarabatiwa pamoja na miundombinu mingine muhimu ikiwemo vyumba vya madarasa, matundu ya vyoo, nyumba za walimu, mabweni, mabwalo, maabara na maktaba.

“Ofisi ya Rais – TAMISEMI katika kipindi cha mwaka 2022/23 hadi 2024/25 imepeleka jumla ya shilingi bilioni 539.6 shuleni na kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya 656 za awali na msingi. Lengo kuu la uwekezaji huu ni kuhakikisha sisi kama Taifa, wazazi na walezi tunatoa fursa sawa kwa watoto wote kupata elimu,” amesema Mwambene.

Aidha, amewataka walimu na viongozi wa shule kuimarisha mifumo ya kushughulikia malalamiko ya wanafunzi kwa kuweka masanduku ya maoni, kuanzisha mabaraza ya watoto pamoja na madawati ya ulinzi na usalama wa mtoto shuleni, huku wakihakikisha changamoto zinazowasilishwa zinapatiwa ufumbuzi kwa mujibu wa miongozo.

Vilevile, amewakumbusha walimu kote nchini kuzingatia nidhamu, maadili na miiko ya ualimu ili kuhakikisha wanafunzi wanatendewa haki na kulinda heshima ya taaluma hiyo kwa kuondoa kabisa vitendo vya ukatili dhidi ya watoto.

Kwa upande wake, Mratibu wa Mradi wa BOOST kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mwalimu Ally Swalehe, amesema mradi huo ulianzishwa kwa lengo la kukabiliana na changamoto za uhaba na uchakavu wa miundombinu ya shule,




Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Serikali yaboresha mazingira ya kufundishia na kujifunza- Mwambene

    August 18, 2025
  • Afisa elimu mkoa wa Dodoma akagua maandalizi ya Juma la elimu ya watu wazima

    August 17, 2025
  • Wafanyabiashara wa mkoa wa Dodoma watangaziwa fursa za biashara nchini indonesia

    August 16, 2025
  • Wafugaji waaswa kufuga kwa kuzingatia uwezo wa malisho ili kupata tija

    August 15, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.