KATA YA KILIMANI
Mhe. Neema Petro Mwaluko
UTANGULIZI:
Kata ya Kilimani ni miongoni mwa kata zinazounda Jiji la Dodoma.
MIPAKA:
Kwa upande wa Mashariki imepakana na kata ya Tambukareli, upande wa Magharibi imepakana na kata ya Kikuyu kusini na kata ya Kikuyu kaskazini pamoja na kata ya Hazina. Upande wa Kusini imepakana na kata ya Ntyuka na upande wa Kaskazini imepakana na kata za Tambukareli na Madukani.
UONGOZI:
Diwani: Mhe. Neema P. MWALUKO
Mwenyekiti wa Mtaa: 4
Watendaji:
Kata ina mitaa minne (4) ambayo ni:-
HUDUMA ZA ELIMU:
Elimu ya Msingi: Kata ya Kilimani haina shule ya msingi ya Serikali, Wanafunzi wa elimu ya msingi wanaoishi Kata hii wengi wanasoma shule iliyo jirani ya Dodoma mlimani iliyopo kata ya Tambukareli.
Elimu ya Sekondari: Kata ina shule moja ya Sekondari ya Sechelela.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.