KATA YA MTUMBA
Mhe. Nyangalu Edward Maboje
Kata ya Mtumba ni miongoni mwa kata arobaini ya moja (41) zinazounda Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Kata ya Mtumba ina mitaa minne (4) ambayo ni:-
Mipaka: Kusini inapakana na kata ya Nghongh'onha, magharibi ipo kata ya Ihumwa, kaskazini ipo kata ya Chahwa na Mashariki ipo kata ya Kikombo na Wilaya ya Chamwino.
Idadi ya watu: Kata ya Mtumba in Kaya 2,189 zenye jumla ya watu 8,521 wakiwamo wanaume 4,061 na wanawake 4,460.
UONGOZI
Diwani: Mhe. MABONYE Nyangalu Edward
Wenyeviti wa Mitaa:
Watendaji waliopo:
Watendaji wa Mitaa: Mitaa yote minne (4)
Baraza la Kata: Lina wajumbe 8 (wawili kutoka kila mtaa)
Huduma ya Afya: Kuna zahanati mbili ambazo ni 1. Zahanati ya Vikonje na 2. Zahanati ya Mtumba
Huduma ya Elimu:
Kuna shule za Msingi mbili 1. Mtumba (wanafunzi 815) 2. Vikonje (wanafunzi 801)
Kuna shule ya Sekondari moja 1. Mtumba (wanafunzi 168)
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.