KATA YA VIWANDANI
Mhe. Jaffar Mdegela Mwanyemba
UTANGULIZI
Kata ya Viwandani ni miongoni mwa kata 41 zilizopo katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
MIPAKA:
Kati hii kwa upande wa Mashariki inapakana na kata ya Makole, upande wa Kaskazini inapakana na kata ya Kiwanja cha Ndege, upande wa Kusini inapakana na kata za Kilimani na Tambukareli, na upande wa Magharibi inapakana na kata za Uhuru na Madukani.
IDADI YA WATU:
Kata hii ina jumla ya kaya 1,314 zenye watu 4,897 wakiwamo wanaume 2,416 na wanawake 2,481.
UONGOZI:
Diwani: Mhe. Jaffar M. MWANYEMBA
Wenyeviti wa Mitaa: 4
Wajumbe wa Serikali ya Mtaa: 26
Watendaji:
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.