Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma anapenda kuwatangazia Wananchi wote kuwa, Halmashauri imekamilisha upimaji wa viwanja vya matumizi mbalimbali katika eneo la Mtumba, Kikombo, Nzuguni, na Michese na vitauzwa kuanzia Jumatatu tarehe 20/05/2019 katika eneo la wazi lililopo kwenye Ofisi za iliyokuwa Manispaa ya zamani jirani na Sabasaba.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.