Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma anawatangazia wananchi wote kuwa, kutakuwa na mnada wa hadhara kwa ajili ya kukodisha eneo la Bustani ya Mapumziko ya Chinangali (Chinangali Recreational Park) iliyoko jirani na Uwanja wa Ndege Jijini Dodoma.
Mnada utafanyika Siku ya Jumamosi tarehe 21/11/2020 na mahali ni hapo hapo eneo la bustani, muda ni kuanzia Saa 3:00 asubuhi.
Kusoma Tangazo, Masharti na Maelezo ya ziada bofya hapa: TANGAZO LA MNADA CHINANGALI PARK
Jukwaa la burudani na matamasha
Baadhi ya michezo ya watoto
Viosk vya chakula na vinywaji
Water fountain
Bwawa la kuogelea watu wazima
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.