KWA: WANANCHI WOTE.
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma anawatangazia wananchi wote TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI YA Halmashauri kwa Kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2017.
MAPATO/MAPOKEZI TOKA SERIKALI KUU
Kwa kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2017 (Robo ya Pili), Halmashauri imepokea jumla ya Tzs 14,111,844,059 sawa na asilimia 35 ya fedha iliyoidhinishwa kwa mwaka na asilimia 73 ya fedha ya Robo ya Pili toka Serikali kuu:
Kwa mchanganuo wa taarifa kamili, Bofya Hapa: Taarifa ya Mapato na Matumizi Oktoba - Disemba 2017.pdf
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.