Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma anawatangazia wananchi wote waliochukua viwanja katika eneo la NJEDENGWA INVESTMENT AREA, IYUMBU NEW TOWN CENTER na MKALAMA kuwa wanatakiwa kukamilisha malipo ya viwanja hivyo kabla au ifikapo tarehe 15 Juni, 2019. Baada ya muda huo, viwanja ambavyo havijakamilisha malipo yake, Halmashauri itavichukua na kuviuza kwa waombaji wengine bila kutoa taarifa kwa mwombaji wa awali.
Bofya hapa kuona wadaiwa wa:- Njedengwa Investiment Area
Bofya hapa kuona wadaiwa wa:- Mkalama
Bofya hapa kuona wadaiwa wa:- Iyumbu New Town Center
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0715789078 au 0718530108
Tangazo hili limetolewa na:
MKURUGENZI WA JIJI
HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.