Serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli kupitia Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imetangaza AJIRA 550 ZA KADA ZA AFYA.
Hivyo basi, Hivyo, Ofisi ya Rais, TAMISEMI inapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kada za Afya nchini kuwasilisha maombi ya nafasi za kazi, kuanzia tarehe 22/07/2019 ili kujaza nafasi mbalimbali za Kada ya Afya katika Hospitali za Wilaya, Vituo vya Afya na Zahanati nchini.
Angalizo: Maombi yoyote yatakayowasilishwa kwa njia ya posta au kuletwa moja kwa moja Ofisini hayatafanyiwa kazi.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 05 Agosti, 2019 saa 9:30 alasiri.
Kuona nafasi zilizotangazwa, Bofya hapa: TANGAZO LA KAZI kada za AFYA Julai, 2019.pdf
Maombi yote yatumwe kwa njia ya mtandao (online) kupitia mfumo wa kielektroniki unaopatikana kupitia anuani ya ajira.tamisemi.go.tz
Chanzo: tovuti ya OR-TAMISEMI (tamisemi.go.tz)
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.